Wednesday, 15 July 2015

THE GARDEN: OUTDOOR FURNITURE

Unaweza ukawa na bustani nzuri kuzunguka nyumba yako lakini ikasosa vitu vya kuonyesha uzuri wake. Vitu hivyo vinaweza kuwa mapambo ya bustani kama vile vyombo vya kuoteshea maua, samani(furniture) za bustani nk.

Angalia hapa baadhi ya samani za bustani zinavyoweza kuwa/kupangiliwa.