Skip to main content

THE LIVING ROOM: MODERN SOFA

Uzuri wa sebule lako utatokana si na thamani ya samani ulizo nazo au rangi yake tu, bali mpangilio wake pia ni muhimu. Huwa tunachagua rangi za samani za sebule kulingana na rangi tunazozipenda.Hakuna tatizo kufanya hivyo ila inabidi uwe mbunifu katika kupanga samani hizo pamoja na mapambo na nyumba yako itakuwa kivutio kwa kila anayekutembelea.Kama unatatizika tafuta ushauri kutoka kwa watu wenye uzoefu.

Tuangalie baadhi ya picha zionyeshazo mpangilio wa samani za sebule mbalimbali.

http://www.avetexfurniture.com/images/products/4/44924/b-modern-sofa-set-541.gifhttp://www.avetexfurniture.com/images/products/2/47722/astro-sofa-pumpkin-b.jpghttp://www.avetexfurniture.com/images/products/1/47781/s9130.jpg

Popular posts from this blog

YEBOYEBO,MTINDO WA NYWELE UNAOPENDWA HADI SASA

MICHORO MBALIMBALI YA HINA

JINSI YA KUPAKA RANGI NDANI YA NYUMBA YAKO

Swala la kuchagua rangi inayofaa ndani ya nyumba huwachanganya wengi.Wengi hushindwa kuamua ni rangi gani wapake. Na endapo mtu atataka kuchanganya rangi za aina mbili au zaidi ni rangi gani atumie? Habari hii inaweza kuwasaidia kidogo kwani nitawawekea baadhi ya picha jinsi rangi zinavyoweza kupangiliwa na kupendeza.Kikubwa vilevile zingatia samani ulizonazo au unazohitaji kuweka katika nyumba yake ili usilete mchanganyiko wa rangi utakaoumiza kichwa.