Saturday, 4 July 2015

UJUMBE WA LEO:ISHI KATIKA UHALISIATusifanya vitu kwa mazoea bali tufanye vitu kulingana na matakwa yetu.

Kupenda  kuishi maisha kama anayoishi mtu  fulani si kosa ila kosa ni wewe kutaka kuwa kama huyo mtu!Kwa kufanya hivi utakuwa unajidanganya wewe mwenyewe na kujiumiza bure. Siku zote jaribu kuishi kama wewe kwa kufanya vitu unavyovipenda wewe!Kwa kufanya hivi utakuwa na raha na amani siku zote kwani utakuwa unaishi katika uhalisia bila ya magumashi!