Friday, 17 July 2015

UREMBO VIDEO: CHUKUA UJUZI WA KUTENGENEZA NYUSI

Katika kipengele cha urembo video tutakuwa tunawawekea video tofauti zinazoelekeza kuhusu urembo mbalimbali,iwe nywele, vipodozi n.k.

Siku hizi katika ulimwengu huu wa utandawazi na teknolojia kila kitu unaweza kujifunza mwenyewe, kikubwa uwe na nia ya kufahamu kitu. Haya twende kazi!