Sunday, 20 September 2015

TASWIRA ZA 40 YA MTOTO WA DIAMOND

DIAMOND TIFFAH'S 40 (1)
Maandalizi yakiwa yamepamba moto nyumbani kwa Diamond, Madale jijini Dar.
DIAMOND TIFFAH'S 40 (2) 


DIAMOND TIFFAH'S 40 (3)

DIAMOND TIFFAH'S 40 (4)
Wanafunzi wa Madrasa nao wapo kwa ajili ya 40 ya Tiffah. …

DIAMOND TIFFAH'S 40 (1)
Maandalizi yakiwa yamepamba moto nyumbani kwa Diamond, Madale jijini Dar.
DIAMOND TIFFAH'S 40 (2)
DIAMOND TIFFAH'S 40 (3)
DIAMOND TIFFAH'S 40 (4)
Wanafunzi wa Madrasa nao wapo kwa ajili ya 40 ya Tiffah. 
DIAMOND TIFFAH'S 40 (5)
Eneo itakapofanyika 40 ya mtoto wa Diamond, Princes Tiffah.
DIAMOND TIFFAH'S 40 (6)
Diamond na Zari wakifanya mazoezi katika chumba maalum nyumbani kwao, Madale.
DIAMOND TIFFAH'S 40 (7)
Diamond akiandaa msosi kwa ajili ya Zari.
DIAMOND TIFFAH'S 40 (8)
Mama mzazi wa Diamond Platnumz, Sanura Kassim, akirembwa.
DIAMOND TIFFAH'S 40 (9)
Diamond na Zari wakiwa na baadhi ya ndugu.
DIAMOND TIFFAH'S 40 (10)Diamond akiwa na Zarinah Hassan.MWANAMUZIKI nguli wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' na mpenzi wake Zarinah Hassan 'The Boss Lady' leo wanasherehekea siku 40 tangu kuzaliwa kwa binti yao Princess Tiffah.
CHANZO: GPL
Sherehe hizo zinafanyika nyumbani kwa Diamond eneo la Madale, Tegeta jijini Dar es Salaam.