Dr John Pombe Magufuli
Tume ya taifa ya uchaguzi imemtangaza Dr John Pombe Magufuli kama rais mteule wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.Dr Magufuli amepata kura asilimia 58.46
Hongera John Pombe Magufuli.
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
No comments:
Post a Comment