Thursday, 29 October 2015

HONGERA SAMIA SULUHU HASSAN


Samia Suluhu Hassan

Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania,tunapata makamu wa kwanza wa rais mwanamke.
Wanawake tunajidaije sasa.
Huu ni mwanzo mzuri katika siasa nchini kwetu. Wanawake najua ni sisi ndiyo tumempa support kubwa mama Samia.Tuendelee kumpa support katika kutimiza majukumu yake Kitaifa na kimataifa kwa kufanyakazi zaidi.
Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki Afrika.