
Kwenye ukurasa wake wa instagram Diamond aliandika yafuatayo:
Dah, I realy don't know What to say ๐...
dha! hata sijui nizungumze nini... ๐
(Eeh Mungu baba tunakushkuru sana kwa kuzidi kuunyanyua na kuupa Thamani mziki wetu wa Afrika Mashariki...tafadhali endelea kutushika mkono, usituache๐)
#BestDanceVideo#EastAfricaArtistOfTheYear#AfiracnArtisOfTheYear

No comments:
Post a Comment