Thursday, 5 November 2015

DR JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI,RAIS WA AWAMU YA TANO WA TANZANIA

Dr John Pombe  Joseph Magufuli ameapishwa rasmi leo kama rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hongera sana.