Dr John Pombe Joseph Magufuli akila kiapo kuwa rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Makam wa rais, Samia Suluhu Hassan akiapa
Rais John Magufuli ambae pia ni amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama akikagua gwaride
Rais aliyemaliza muda wake Jakaya Mrisho Kikwete akiwa anaingia uwanja wa Uhuru
Rais aliyemaliza muda wake Jakaya Kikwete akiwa na mkewe mama Salma Kikwete, wakitika uwanjani baada ya kumalizika kwa sherehe za kuapishwa Dr John Magufuli
PHOYP CREDIT: Issa Michuzi
No comments:
Post a Comment