Friday, 5 February 2016

HEKAHEKA: MUME AMUUA MKE HUKU MTOTO AKISHUHUDIA,CHANZO "WIFI"

Hawa mawifi sasa ni majanga. Haya, kaka kaua mkewe na kuacha mtoto chanzo ni wifi,Hivi utajisikiaje kama wewe ukiwa ni chanzo cha kuharibu maisha ya kiumbe kingine?Unafikiri utafanikiwa kweli?Kwa dhambi hii tayari kaka na dada yake wameshaharibu maisha yao. Hakuna watakachofanya kitafanikiwa, abadan!!

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...