Tuesday, 9 February 2016

INDOOR PLANTS

Unaweza kuongeza mvuto ndani ya  nyumba yako kwa kuweka maua.Si kila maua yanafaa kuwekwa ndani hivyo inabidi ujue ni maua gani yanafaa kuwekwa ndani.Hebu tuangalie baadhi ya maua yafaayo kuwekwa ndani