Tuesday, 9 February 2016

THE WARDROBE:MAXI SKIRTS

Maxi skirt ni vazi ambalo linaweza kumpendeza mtu yeyote.Vazi hili hupendeza zaidi katika majira ya joto (summer).
Angalia mitindo tofauti ya maxi skirts.