Wednesday, 12 October 2016

DONDOO ZA UREMBO: JINSI YA KUONDOA MVI (GRAY HAIR) KWA MAFUTA YA NAZI NA LIMAO


Bildresultat för coconut oil hairBildresultat för lemonMAHITAJI
Maji ya limao 1
50 g mafuta ya nazi

JINSI YA KUFANYA
Changanya maji ya limao na mafuta ya nazi.Paka mchanganyiko huko katika nywele zako na hakikisha unafika mpaka kwenye ngozi (scalp) na unasugua vizuri.
Fanya hivi angalau mara 1 kwa wiki na utaona matokeo yake.