Skip to main content

Posts

Showing posts from December, 2018

GIULIA PIERALLI CABIN BAG

Kwa wale wapenda kusafiri kitanashati cabin bag hii na yote bag yake ni mwafaka. Ni kutoka kwa
Giulia Pieralli

LEOPARD PATTERN DRESS

I love animal pattern clothes. Nina nguo tofauti zenye pattern za wanyama zaidi blouse na makoti.Nina leopard pattern zaidi na bado Nina nunua tu πŸ˜€ Ona hivi vi dress Vipi simple ila ni vitamuu πŸ”₯πŸ”₯MICHAEL KORS HANDBAG

Mkoba huu wa Michael Kors nimependa zaidi design na siyo jina
WOMEN WRIST WATCHES

MERRY CHRISTMAS TO YOU ALL 🌲

Have yourself a merry little Christmas πŸŽ„πŸŽ„
Tusherehekee krismasi kwa amani na utulivu na tusiache kuwakumbuka wasiojaliwa ili baraka za Mungu ziendelee kuwa nasi.God bless you allπŸ™πŸ½πŸ™πŸ½

NATURAL FRESH WATER PEARL JEWELRY SET STERLING SILVER

ukihitaji ingia hapa(ship here if you are interested)
http://gotclicks2.com/uTWyJqQ5D
JEWELLERY SET

Ukipenda ingia hapa
http://gotclicks2.com/qN2GSbx5yCRYTSTAL COLLAR VINTAGE JEWELLERY SET

Ingia hapa ukihitaji
http://gotclicks2.com/t7F6pdbuP


MULTI LAYER BEADS CHAIN

Ingia hapa ukihitaji
http://gotclicks2.com/t7F6pdbuPRED CORAL BEADS

Ukihitaji ingia hapa http://gotclicks2.com/vwdmta7c7BEAUTIFUL JEWELRY SET

Ingia hapa kama unahitaji hii set http://gotclicks2.com/qphVXFx6ySAFARI YANGU YA ZANZIBAR (SPICE ISLAND) Par

Unapoisoma historia ya mji wa Unguja huwezi kuacha  kuzingumzia kanisa la Anglikana,Mkunazini.Habari za kanisa hili nilizisikia muda mrefu sana ila katika safari zangu zote za kwenda Unguja katika Siku za nyuma Siku wapi kupata ushabiki wa  kwenda kutembelea.
Ni asubuhi ya siku ya Jumapili,majira ya saa 5 asubuhi naanza tour ya jiji la Unguja, nikiwa sina ratiba kamili ya wapi ninakwenda kutembelea ,Mwenyeji wangu alishapanga kuhusu hiyo tour na dereva wa kunipeleka. Tulizunguka sehemu nyingi bila ya kuwa na dira. Alinionyesha jengo la baraza  la wawakilishi Zanzibar ambalo ni jengo zuri sana kwa muonekano. Akanionyesha ofisi za Bilozi ndogo mbalimbali.Akanionyesha hospitali ya mnazi mmoja n.k
Tulizunguka kwa miguu mji Mkongwe ambapo zamani makazi ya watu yalikuwa mengi ila cha kushangaza kwasasa ni maduka ya kuuza vitu vya kitalii na migahawa ya vyakula! Tukaenda Ngome kongwe ambapo kulikuwa na tamasha kubwa la filamu  almaarufu kama Zanzibar International Film Festival(ZIFF).Kulikuw…

DO IT YOURSELF NECKLACES

Hizi shanga ni za kutengenezwa na watu na hata wewe unaesoma hapa kama una interest unaweza kujifunza kutengeneza ukauza kujiongezea kipato.Utengenezaji unahitaji uwezo mkubwa wa kubuni designs na kuchanganya rangi.Angalia shanga zifuatazo

MICHAEL KORS SNEAKERS

Ninapenda sana slip ins sneakers sababu hakuna adha ya kufunga kambaπŸ˜€πŸ˜€
Yaani kwasada ninavaa  aina ya sneakers zaidi.MICHAEL

AFRICAN PRINT VEST SHORT DRESSES

WOMEN PUMPS

JUMBO BOX BRAIDS