Thursday 20 December 2018

DO IT YOURSELF NECKLACES


Hizi shanga ni za kutengenezwa na watu na hata wewe unaesoma hapa kama una interest unaweza kujifunza kutengeneza ukauza kujiongezea kipato.Utengenezaji unahitaji uwezo mkubwa wa kubuni designs na kuchanganya rangi.Angalia shanga zifuatazo






No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...