Saturday 15 December 2018

HOME DECOR: CHRISTMAS TABLE ARRANGEMENTS


Msimu huu wa sikukuu wengi wetu tunapenda kufurahi na familia,ndugu na marafiki. Furaha hiyo hujumuika na kukutana na kula pamoja hivyo wengi wetu hufikiria jinsi ya kupangilia meza ya chakula kwa ajili  ya christmas. Nchini Sweden nilipo wanaita “julbord”. Zifuatazo ni aina tofauti ya mpangilio wa meza za chakula cha Christmas. Chukua ideas upange na wewe ya kwako!





No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...