Saturday 15 December 2018

THE GARDEN

Jinsi ya kutengeneza bustani ya maua ya kuvutia katika nyimba zetu kunahitaji ubunifu.Ubunifu katika kutengeneza container za maua na ubunifu katika uoteshaji maua wenyewe.Tuangalie baadhi ya designs za container za maua ambazo mtu yeyote anaweza kutengeneza mwenyewe.




No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...