Msimu huu wa sikukuu wengi wetu tunapenda kufurahi na familia,ndugu na marafiki. Furaha hiyo hujumuika na kukutana na kula pamoja hivyo wengi wetu hufikiria jinsi ya kupangilia meza ya chakula kwa ajili ya christmas. Nchini Sweden nilipo wanaita “julbord”. Zifuatazo ni aina tofauti ya mpangilio wa meza za chakula cha Christmas. Chukua ideas upange na wewe ya kwako!
Saturday, 15 December 2018
HOME DECOR: CHRISTMAS TABLE ARRANGEMENTS
Msimu huu wa sikukuu wengi wetu tunapenda kufurahi na familia,ndugu na marafiki. Furaha hiyo hujumuika na kukutana na kula pamoja hivyo wengi wetu hufikiria jinsi ya kupangilia meza ya chakula kwa ajili ya christmas. Nchini Sweden nilipo wanaita “julbord”. Zifuatazo ni aina tofauti ya mpangilio wa meza za chakula cha Christmas. Chukua ideas upange na wewe ya kwako!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
No comments:
Post a Comment