Skip to main content

Posts

Showing posts from April, 2013

MZEE MANDELA ANAENDELEA VIZURI

Kwa mujibu wa viongozi wa ANC walio mtembelea mzee Mandela nyumbani kwake wanasema hali yake inaendelea vizuri.
Rais wa Afrika ya kusini Jacob Zuma na makamu   raisi wa chama cha ANC  Cyril Ramaphosa ni miongoni mwa viongozi wa ANC waliomtembelea Mandela.

Habari hii ni kwa hisani ya BBC news

FAHAMU BAADHI WAKE WA MARAISI WA AFRIKA NA NCHI WANAZOTOKA
DEBBIE ROWE AND PARIS JACKSON CLOSER THAN EVER!

Debbie Rowe and Paris Jackson have forged an unlikely but genuine bond of late. As followers of the frequently and uniquely bizarre family saga know, the former dermatology nurse was married to Michael Jackson from 1996-1999. She then gave MJ sole custody of Michael Joseph "Prince" Jackson Jr., 16, and Paris Michael Katherine Jackson, 15, and virtually disappeared.

Rowe, 54, took a large financial settlement and steered clear of the famous family, including after Michael's 2009 death. But recently, that all changed. She's grown particularly close to the daughter she never really knew, and all because ParisJacksonreached out in an effort to forge a relationship. Debbie Rowe has seen her daughter perform in a school play, taken her out to lunch, and hosting her at her Palmdale ranch, where she breeds horses.

MALKIA BEATRIX WA UHOLANZI ANG´ATUKA MADARAKANI


Mfalme aliyetawazwa Willem-Alexander anakuwa ndiye mfalme wa kwanza  wa Uholanzi katika kipindi cha miaka 123!

Habari kwa hisani ya CBS NewsDUNIA DARAJA WADAU!

KUWA MREMBO KWA SHANGA ZA KIMASAI

WAIGIZAJI WA KIKE KUTOKA BONGO MOVIES

Yvonne Cherry (Monalisa)WAJUE WAIGIZAJI WAREMBO KUTOKA NIGERIA
 

  

NINI CHIMBUKO LA AGUKO LA ELIMU TANZANIA?


Kunapokuwa na tatizo au mapungufu lazima kuna sababu iliyopelekea kuwepo tatizo hilo.Tatizo haliwezi kwisha bila kutibu/kurekebisha chanzo cha tatizo.
Je,nini kimechangia la anguko la elimu Tanzania?Je,sababu zinaweza kuwa: Ubadilishwaji wa mitaala mara kwa mara Ubadilishwaji wa vitabu bila kufuata utaratibu Mrundikano wa watoto darasani Ukosefu wa madawati Majengo duni Maslahi duni ya walimu Wadau mnaweza kuchangia ili kusaidia uboreshaji wa elimu yetu.

PENDEZESHA NYUMBA YAKO KWA BUSTANI ZA MAUA