Friday, 28 February 2014

Ex-girlfriend wa Samuel Eto’o ashtua watu kuhusu umri wa mchezaji huyo

hu
“Tatizo la Chelsea ni kukosa wafungaji, nina Eto’o ambaye ana miaka 32 au labda 35 nani anayejua?”.

Hiyo ilikua ni kauli ya kocha Jose Mourinho akimzungumzia Samuel Etoo na baadae mpenzi wa zamani wa Eto’o aliongea kuhusu umri wa mchezaji huyo kitu ambacho kimewashangaza watu wengi.
Anna Barranca alikuwa mpenzi wa zamani wa Eto’o na kupata mtoto mmoja wa kike ambaye hivi sasa ana miaka 11 amesema Eto’o ana miaka 39 kuelekea 40 na sio 35.
Mwanamke huyo amesema kwamba alijua kuhusu umri wa Eto’o wakati wapo Cameroon kutoka kwa mtu ambaye alikua pamoja na Etoo tangu utotoni.
CHANZO: Millard Ayo

KAMERA YA RAINBOW JIJINI STOCKHOLM: WIKI MBILI ZILIZOPITA KULIKUWA HIVI NA SASA BARAFU YOTE IMEYEYUKA!

PENDEZESHA NYUMBA KWA" CONTAINER GARDENING"

THE BENEFITS OF MORINGA TREEKINGWENDU KUNG'AA KITAANI NA FAZA HAUS


MSANII wa filamu nchini Athumani Lali 'Budege' baada ya kucheza filamu za watu sasa ameamua kuja na filamu zake mwenyewe na kuwawezesha wasanii wenzie kuwa na kipato kizuri baada ya kuamua kufungua kampuni yake binafsi inayokwenda kwa jina la AJM Entatainment ambayo ina husika na maswala ya filamu za kibongo.

Athumani Lali 'Budege' akizungumza na mwandishi wa habari hizi Lali amesema kuwa kwa sasa yupo katika atua za mwisho kwa ajili ya kutoa filamu mpya inayokwenda kwa jina la Faza Hausi ambayo imeshilikisha wasanii wakongwe ndani yake akiwemo Mohamed Nurdini 'Chekbudi', Esha Buheti, Rashidi Mwishehe 'Kingwendu' Muogo Mchungu.

TUKUMBUKE KURUDISHA KWA JAMII:KUTANA NA MDAU JAMES NINDI

Visar IMG-20140228-WA0007.jpg
PICHA: Mdau James Nindi akiwa na watoto wanaoishi katika mazingira magumu leo jijini Dar,James ambaye mbali na kuwa  na taaluma ya uandishi wa habari vilevile yeye ni social worker.Ameiomba jamii kuwa na utaratibu wa kuwatembelea watoto hawa na kuwasaidia pale tunapoweza,Anaamini kuwa pamoja inawezekana.
HONGERA SANA JAMES!

MITINDO YA NYWELE: DREADLOCKS KWA WANAWAKE

flat twist, loc bon Instagram photo by @doing_da_most (~*Miss Ashanti*~) | Statigram
Styled by Fabulocs Natural Hair Gallery.Lovely locs

STEVE NYERERE AMWAGIA SIFA LULU

Stori: Mayasa Mariwata
RAIS wa Bongo Movie Unit, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amemmwagia sifa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuwa ni binti mdogo lakini sasa anajitambua tofauti na wasanii wengine wakubwa.
Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Akipiga stori na Ijumaa Steve alisema kuwa, mbali na umakini katika kazi zake za kisanii, sasa hivi yuko makini sana na maisha yake kiasi kwamba ni nadra sana kumkuta na skendo za kijingajinga.

THE BEDROOM: AINA MBALIMBALI ZA DUVET NA UTANDIKAJI WAKE

UPAKAJI WA RANGI KATIKA KUCHA

Easy follow steps for the perfectt manicure!   mani - manicure- short nails - real nails- cute nails - nail polish - sexy nails - pretty nails - painted nails - nail ideas - mani pedi - French manicure - sparkle nails -diy nails- black nail polish- red nails - nude nails

STYLE: TOKELEZEA KWA MAXI

LOLO Moda: Fabulous women long skirts 2013LOLO Moda: Trendy Maxi Skirts 2013

JK: HARAKISHENI SHERIA USALAMA MITANDAONI

Rais Jakaya Kikwete, akibofya kitufe kuzindua mtambo wa kuhakiki takwimu za mawasiliano kwenye Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dar es Salaam jana. Picha ya Ikulu 
Dar es Salaam. Rais Jakaya Kikwete ameiagiza Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuhakikisha mchakato wa Sheria ya Usalama kwenye mitandao unakamilika na kuanza kutumika, ili kudhibiti wanaotoa siri za nchi kwa kisingizio cha uhuru wa habari.
Hayo aliyasema jana kwenye hafla ya uzinduzi wa mtambo maalumu wa usimamizi na uhakiki wa Mawasiliano ya Simu, (TTMS), iliyofanyika Ofisi za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) Dar es Salaam.

UPAKAJI WA RANGI NJE YA NYUMBA
Thursday, 27 February 2014

CHEKA UFURAHI:BIBI YETU ATAREEEEE...!!!

BEHIND THE SCENES: KAJALA, ASHA BOKO, HEMEDY, SENGA AND MZEE ONYANGO STARS IN A NEW MOVIE


Asha Boko and Hemedy
Kajala Masanja is becoming serious with her movie production company called Kay Entertainment !. Well, after finishing shooting "Laana" produced by her company, the Swahiliwood actress is currently shooting another comedy flick with popular comedy stars including Asha Boko, Senga and Mzee Onyango. Hemedy Suleiman is also in the film. Check out the making/behind the scenes of the film below:

PICHA YA LEO: CHANGAMOTO ZA MVUA PORINICREDIT: TEMBEA TANZANIA

DAR ES SALAAM; YASHIKA NAFASI YA 39/52 YA SEHEMU 52 ZINAZOFAA KUTEMBELEWA 2014

Dar Es Salaam, Tanzania
Ni kwenye orodha ya maeneo 52 iliyochapishwa kwenye tovuti ya NYTimes ya Marekani hivi karibuni. jiji la Dar Es Salaam limeshika nafasi ya 39. Jiji la Cape Town ndio limeibuka kidedea baada ya kushika nafasi ya kwanza. Kwa Africa Mashariki, Laikipia Plateau ya huko +254 ndio imewatimulia vumbi wengine kwa kushika nafasi ya 19.
Bofya hapa kujionea orodha yote.

(picha - Maktaba ya TembeaTz)

PENDEZESHA NYUMBA KWA" CONTAINER GARDENING"
MWILI WA BALOZI FULGENCE KAZAURA WAAGWA LEO KATIKA KANISA LA MT. PETER JIJINI DAR


Jeneza lenye Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura likiwa ndani ya Kanisa la Mt. Peter,Osterbay jijini Dar es Salaam tayari kwa Ibada maalum ya kumuombea Marehemu huyo iliyofanyika mchana wa leo kanisani hapo.
Viongozi wa Kanisa hilo la Mt. Peter wakiwaongoza waomboleazaji kuaga Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura aliefariki Dunia juzi huko nchini India alikokwenda kwa ajili ya Matibabu.

WENYE TABIA HIZI MBAYA WAACHE.ANGALIA VIDEO HII:OFM KAZINI; KAMANDA WA OFM AKIRIPOTI TUKIO LA MFANYABIASHARA KUTAKA KUMB...NMB YAENDELEA KUSOGEZA HUDUMA KARIBU ZAIDI KWA WATEJA WAKE‏

Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,Bw.Meck Sadick (kwanza Kulia) akimkabidhi sehemu ya msaada wa vifaa vya hosipitali Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana ,Dr Meshack Shimwela .Mashuka ya Hospitali pamoja na Vitanda vya wodi ya akina mama ni miongoni mwa vifaa vilivyotolewa .Makabidhiano haya yamefanyika jana wakati wa uzinduzi wa tawi la NMB mandela Road Katikati ni Meneja wa NMB kanda ya Dar es salaam, Bw.Salie Mlay.
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Bw. Meck Sadick (pili kulia kwenye viti) akiwa kwenye picha ya Pamoja na maafisa wa NMB tawi la Mandela Road.

KATUNI YA LEO

Wednesday, 26 February 2014

KATUNI YA LEO

Foto: Majanga!

UNA NINI CHA KUSEMA KUHUSU HII PICHA?


UNAUJUA MLONGE(Moringa oleifera) NA FAIDA ZAKE?

Unga wa majani ya Mlonge ambao ni lishe, tiba na kinga hutibu magonjwa kama shinikizo la damu, kupooza viungo au kufa ganzi, homa ya matumbo(typhoid), kuwashwa mwili,vidonda vya tumbo, malaria sugu, hernia (ngiri), upele n.k.
Mbegu za Mlonge hutibu Malaria, Saratani ya tumbo, hupungusa sonona stress, huleta hamu ya kunywa maji,huongeza kinga ya mwili CD4s. (Tumia mbegu 3x3 muhimu kila ukitafuna mbegu tatu kumbuka kutumia maji glass 3 au zaidi).
Maganda(magome) ya Mlonge husaidia kusafisha maji(water treatment).

STYLE: TOKELEZEA KWA MAXI SKETI

LOLO Moda: Trendy Maxi Skirt - Summer Fashion 2013. Not nuts about the bag, but I'm digging everything else!LOLO Moda: Cool Maxi Skirts 2013

MITINDO YA NYWELE: DREADLOCKS KWA WANAWAKE

LOC STYLERed dreads

THE BEDROOM:PENDEZESHA CHUMBA CHAKO KWA DUVET NA MAPAZIA YANAYOFANANA
PENDEZESHA NYUMBA KWA" CONTAINER GARDENING"
RAHA YA KUSOMESHA MTOTO WA KIKE SEHEMU YA 2

Tuondoe vikwazo ili wanafunzi wa kike kama hawa wapate fursa ya kuendelea masomo kwa maendeleo yao binafsi, familia zao na kwa taifa kwa ujumla. Picha na Maktaba 

Katika baadhi ya jamii nchini, mtoto wa kike anaishi kwenye mazingira magumu, Hata wale wanaobahatika kupata fursa ya kusoma, bado safari yao imesongwa na vikwazo kedekede. Wachache ndio wanaofika mwisho wa safari tena baada ya kuruka viunzi visivyo na idadi. Kwa wanaoishia njiani, wengi wanakosa kabisa matumaini ya kujiendeleza maishani.
Faida ya elimu kwa mtoto wa kike
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu,Sayansi na Utamaduni (Unesco), Irina Bokova anasema elimu siyo tu ni haki yao ya msingi watoto wa kike, lakini ni nyenzo muhimu ya kustawisha maisha ya jamii zao kwa jumla.

START YOUR OWN ONLINE BUSINESS

 Many people are working online especially during this time of CoronaYou can do this also if you have a will.  Register for a Free Live Webi...