Saturday 19 July 2014

MITINDO TOFAUTI YA HERENI KWA WANAWAKE



MOJA YA NYIMBO NIZIPENDAZO: ALL OF ME BY JOHN LEGEND

KUHUSU MTOTO ALIYEPOTEA KWENYE MAZINGIRA YA KUTATANISHA DAR ES SALAAM

mttTaarifa ya mtoto Marry ambaye kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii zimetolewa picha zake na maandishi ya kuwa amepotea kwenye mazingira ya kutatanisha na baadhi ya watu walisema kuwa walimuona amechukuliwa na mtu akawa anaelekea maeneo ya kanisa la Assemblies, Changanyikeni akiwa amepakiwa kwenye boda boda mpaka sasa hivi mtoto hajaonekana.
Sasa Gea Habib na idara ya Hekaheka wameenda mpaka huko kwao na huyo mtoto,sikiliza kilichozungumzwa.
88.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Tabora.
Bonyeza play kusikiliza.
Chanzo: Millard Ayo

Wednesday 16 July 2014

MTOTO AIBIWA LEO CHANGANYIKENI

Mtoto kaibiwa leo Changanyike anaitwa Marlyn atakaemuona anaombwa atoe taarifa katika kituo chochote cha Polisi, na mtu aliyemuiba mtoto ni mkaka kanyoa pank na baade akakodi boda boda.
Ukiona ujumbe huu sambaza kwa mwingine, na atakaemuona apige namba hii 
0786 888808.

MANUKATO KWA WANAWAKE KUTOKA KWA YVES ROCHER


Moment de Bonheur is a light, fresh not overpowering yet balanced perfume recommended for every day wear.





LIP BALM ZENYE HARUFU TOFAUTI AMBAZO MWANAMKE UNATAKIWA UWE NAYO KATIKA MKOBA WAKO

zoom1-70072zoom1-69283
Vanilla Scented Lip Balm                                      Coconut Scented Lip Balm

THE LIVING ROOM: MPANGILIO KATIKA SEBULE UNAWEZA KUWA NAMNA HII

Angalia mpangilio wa sebule kulingana na matakwa yako.Kuna wanaopenda kuwa na sofa za vipande (pieces) nyingi na kuna wanaopenda kuwa na piece moja tu kubwa. Sofa ambazo huonekana kama piece moja kubwa huweza kugawanywa vilevile katika pieces nyingi.Hizi nitawaonyesha vizuri katika makala zijazo hivyo endeleea kufuatilia hapa.
Siku hizi mfuko wako(pesa) ndiyo unaamua unataka nini au unaweza kufanya nini.Tuangalie picha zifuatazo katika kuelewa.








KUWA MBUNIFU KATIKA KUTENGENEZA BUSTANI KATIKA NYUMBA YAKO


Ubunifu wa bustani unazingatia ukubwa wa eneo ulilonalo.Jinsi eneo linavyokuwa kuwa ndiyo ubunifu unaongezeka.Ila kama wewe ni mbunifu mzuri hata kama una eneo dogo kwa ajili ya bustani nyumbani kwako unaweza kupendezesha mazingira ya nyumba yako. Picha zifuatazo zitakusaidia kuona jinsi gani unaweza kubuni upandaji wa maua na miti kuzunguka nyumba yako.
Great landscape idea using rocks.

rock garden designs | Rock Garden Design Tips, 15 Rocks Garden Landscape Ideas

MKOBA KUTOKA KWA JETTE

  

THE KITCHEN: JINSI YA KU-DESIGN JIKO







PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...