Nyota wa kike wa sinema kutoka Nigeria,Genevieve Nnaji ni
msanii asiyetegema kipato kutoka katika filamu tu. Mbali ya filamu, anaingiza
kipato kikubwa kutokana na matangazo. Baadhi ya makampuni anayofanya nayo kazi
ni Range Rover, Amstel Malta n.k
Mwaka 2014, akishirikiana na Jumia,Genevieve alifungua line
yake ya nguo ijulikanayo kama St. Genevieve. Genevieve ameiona fursa na
kaitumia. Wasanii igeni mfano wa Genevieve kwani ukishakuwa na jina ndiyo mtaji
wenyewe.
Bofya read more kuangalia baadhi ya mali anazomiliki nyota huyu
Genevieve Nnaji akiendesha gari yake aina ya Mercedes benz
Line yake ya nguo
Amstel Malta
Hili ni jumba linalosadikiwa kumilikiwa na Genevieve
Jumba linalosadikiwa kuwa lake nchini Ghana
CHANZO: Nairaland
No comments:
Post a Comment