Skip to main content

Posts

Showing posts from September, 2014

THE WARDROBE: TOKELEZEA KITANASHATI KWA KUPANGILIA MAVAZI YAKO NAMNA HII

MENS BODY MEASUREMENT CHART

THE LIVING ROOM: AINA TOFAUTI YA MEZA ZA LIVING ROOM

THE WARDROBE: DASHIKI TUNIC

THE BEDROOM: AINA ZA SAMANI KUTOKA ITALY NA MPANGILIO KATIKA CHUMBA CHA KULALA

THE WARDROBE: TOKELEZEA KITANASHATI KWA KUPANGILIA MAVAZI YAKO NAMNA HII

T-SHIRTS ZA MIKONO MIREFU KWA WATOTO WA KIKE

THE WARDROBE: LONG AFRICAN PRINT PATCH WORK SKIRT (DASHIKI)

Mbele                         Nyuma

T- SHIRTS ZA MIKONO MIREFU KWA WATOTO

Zinapatikana katika rangi mbalimbali kama nyeupe,nyekundu,bluu, kijivu na kijivu ya mpauko .Ni size kuanzia mtoto wa miaka 1/2 mpaka 8.
Ni 97% pamba na 3% viskos.

Rangi ni kama zinavyoonekana hapa chini. Kama unahitaji piga/whatsapp +255 755 994 399

   110/116,98/104                                                 size 110/116,122/128,98/104, 92

LIP PEN, PATA YA KWAKO

AINA TOFAUTI YA CALADIUM

Caladium ni moja ya maua niyapendayo.Maua haya yapo katika mitindo mbalimbali ambayo yote inavutia.Angalia hapa baadhi ya aina zake.
PICHA: USAFIRI KAFIRI

THE WARDROBE: PENDEZA NAMNA HII KWA LEOPARD PRINT

THE WARDROBE: TOKELEZEA KITANASHATI KWA KUPANGILIA MAVAZI YAKO NAMNA HII

MAHINDI YA KUCHEMSHA YANA UTAMU WAKE!

Nimechemsha mahindi baada ya kuyatamani sanaaa! Bahati mbaya mahindi haya sijanunua fresh bali ni ya katika paketi.Ladha yake ni nzuri tu kama mahindi mabichi fresh.Ngoja niendelee kula mie . Karibu!

AINA TOFAUTI ZA DESIGNS ZA MAJIKO YA NJE YA KUCHOMA NYAMA

THE BEDROOM: AINA TOFAUTI ZA MASHUKA NA DUVET NA UTANDIKAJI WAKE

AINA MBALIMBALI YA PICHA ZA UKUTANI

BREAKING NEWS: TWO BOMB ALERTS AT STOCKHOLM BANKS

UPDATED: Police in Stockholm say a currency kiosk in the Swedish capital has been robbed and that there was an attempted theft at another, with "ticking packages" left in each location.

Police have confirmed that an exchange bureau in Gullmarsplan in southern Stockholm was robbed on Thursday morning, while there was a failed robbery attempt near Slussen, close to the city centre. Witnesses reported seeing masked men fleeing from both locations at around 10am. In Gullmarsplan, one of the suspects had a "pistol-like object in his hand," according to a passerby who spoke to Swedish newspaper Dagens Nyheter.

THE WARDROBE: DRESS CODES FOR BUSINESS PROFESSIONALS

Credit: Dress codes decoded

CONTAINER GARDENING

CHOOSING LIPSTICK COLOUR ACCORDING TO YOUR SKIN TONE

THE BEDROOM: AINA ZA SAMANI KUTOKA ITALY NA MPANGILIO KATIKA CHUMBA CHA KULALA

Angelica Mahogany

Thara Black

THE WARDROBE: PANGILIA MAVAZI NA TOKELEZEA NAMNA HII

THE LIVING ROOM: AINA MBALIMBALI ZA SOFA

INTERIOR DECOR: MARBLE FLOORING TILES DESIGNS

Kutokana na uimara wa  marumaru (marble), hutumika vilevile katika kuta za jikoni, bafuni/chooni na huwekwa juu ya meza. Marumaru hupatikana katika rangi na ukubwa tofauti.Uwekaji wake huhitaji ubunifu wa hali ya juu ili kuleta unadhifu unaotakiwa.Na kwa hakika zikiwekwa vizuri,huleta mwonekano wenye mvuto sana ndani ya nyumba. Kwa kupata mvuto uliopitiliza,uwekaji wa marumaru uzingatie urembaji wa ndani ya nyumba yako.Pata picha kamili kwa kuangalia mfano wa uwekaji wa marumaru uliozingatia urembaji wa ndani ya nyumba.

AINA TOFAUTI ZA DESIGNS ZA MAJIKO YA NJE YA KUCHOMA NYAMA

INTERIOR DECOR: MAPAMBO YA KITAMADUNI YANAVYOWEZA KUPENDEZESHA NYUMBA

Mapambo ya kitamaduni kama ngoma, vinyago, picha za kuchora  n.k, yanaweza kubadilisha kabisa mandhari ya nyumba yako na kuifanya iwe na mvuto.Hii itategemea ubunifu wako katika kuvipangilia vitu hivyo.Nakumbuka wakati nyumbani kwetu tulikuwa na mapambo mengi ya asili kama ngoma, ungo za aina tofauti, side tables za mpingo, vinyago,picha zilizotengenezwa kwa kutumia majani ya migomba nk.Baba yangu alikuwa mpenzi sana wa vitu hivyo.Kusema kweli nyumba ilikuwa na mvuto wa aina yake!
Hebu tuangalie baadhi ya mapambo katika picha hizi.
THE WARDROBE: MAMBO YA MICHAEL KORS!

MOJA YA UGONJWA WANGU

Wadau blogu yangu imelenga katika vitu ninavyoviweza na kuvipenda.Ninapenda sana upambaji wa ndani ya nyumba, mavazi, mapishi na manukato.Hii imepelekea kununua sana mapazia, foronya za mito ya makochi, mashuka n.k.Sijasahau na manukato.Angalia picha baadhi ya manukato niliyonayo. Kuweni huru kuniuliza chochote na vilevile kutoa mawazo yenu na tutajadiliana hapa kwa faida ya wasomaji wangu wote.Kuna mambo mengi mazuri yanakuja na mtaona hapa.

ULIMWENGU WA MITINDO: MICHELLE OBAMA,FASHION ICON!