Skip to main content

Posts

Showing posts from October, 2014

NYUMBANI NI NYUMBANI:CHAI KUTOKA TANZANIA

Tanzania kuna majani ya chai ya aina tofauti.Kati ya niliyopenda ni ginger na hibiscus.Chai hii ndiyo ninayotumia.Hibiscus ina vitamini c kwa wingi hivyo ni nzuri sana kwa afya yako.Tusapoti bidhaa zetu.

Kama ulipitwa na posti ya umuhimu wa ua la hibiscus,angalia posti zetu za tarehe 29 oktoba 2014.

KIATU KUTOKA KWA NEW LOOK

THE DINING ROOM: AINA TOFAUTI ZA SAMANI ZA DINING ROOM NA UPANGILIAJI WAKE

UREMBO WA KUCHA: ANGALIA HATUA KWA HATUA UNAVYOWEZA KUTENGENEZA KUCHA ZAKO

THE WARDROBE: TOKELEZEA KITANASHATI KWA KUPANGILIA MAVAZI YAKO NAMNA HII

THE LIVING ROOM: LEATHER SOFA NA MVUTO WAKE

KIATU KUTOKA KWA ZIGN

ZINGATIA HAYA KABLA YA KUNUNUA MIWANI YA JUA(SUNCLASSES)

Nadhani post hii itatusaidia wengi,kwani wengi wetu hununua miwani kwa kuvutia nayo au urahisi wake bila ya kuangalia vipengele muhimu. Kabla ya kununua miwani ya jua,unatakiwa ufuate yafuatayo:

THE BEDROOM: SAMANI KATIKA CHUMBA CHA KULALA NA MPANGILIO WAKE

THE DINING ROOM: AINA TOFAUTI ZA SAMANI ZA DINING ROOM NA UPANGILIAJI WAKE

UREMBO WA KUCHA: AINA TOFAUTI ZA UPAKAJI RANGI YA KUCHA

Mkasi | SO9E19 With Dr. Cheni

NYIMBO NINAZOZISIKILIZA BILA KUCHOKA KILA SIKU!

HAPPY-PHARRELL WILLIAMS
Because I'm happy Clap along if you feel like a room without a roof 
Because I'm happy 
Clap along if you feel like happiness is the truth 
Because I'm happy 
Clap along if you know what happiness is to you 
Because I'm happy 
Clap along if you feel like that's what you wanna do 

 ALL OF ME-JOHN LEGEND

What would I do without your smart mouth? 
Drawing me in, and you kicking me out
You've got my head spinning, no kidding,
 I can't pin you down 
What's going on in that beautiful mind 
I'm on your magical mystery ride 
And I'm so dizzy, don't know what hit me, but I'll be alright

THE LIVING ROOM: ORANGE SOFA NA MVUTO WAKE

THE LIVING ROOM: CLASSIC COFFEE TABLES

AINA TOFAUTI ZA DESIGNS ZA MAJIKO YA NJE YA KUCHOMA NYAMA

DESIGNS ZA NYUMBA KWA WANAOTAKA KUMILIKI MIJENGO

Nyumba hii ni ya vyumba 4 vya kulala na gereji  za gari 2

Nyumba hii ni ya vyumba 4 vya kulala na gereji  za gari 3

THE WARDROBE: TOKELEZEA KITANASHATI KWA KUPANGILIA MAVAZI YAKO NAMNA HII

SHOPPING BAGS KUTOKA KWA MONA BERLIN

LIJUE UA LA HIBISCUS NA MAAJABU YAKE

Chai ya hibiscus                                                                             Maua ya hibiscus yaliyokaushwa

THE DINING ROOM: AINA ZA SAMANI ZA DINING ROOM NA MPANGILIO WAKE

THE BEDROOM: JINSI VITANDA VYA KISASA VINAVYOWEZA KUBADILISHA MWONEKANO WA CHUMBA CHAKO

THE WARDROBE: PANGILIA MAVAZI YAKO NAMNA HII

UREMBO WA KUCHA: ANGALIA HATUA KWA HATUA UNAVYOWEZA KUTENGENEZA KUCHA ZAKO

THE LIVING ROOM: LEATHER SECTIONAL SOFA

THE LIVING ROOM: CLASSIC COFFEE TABLES

MANUKATO NILIYOWAHI KUTUMIA/NINAYOTUMIA

Perfume ni moja kati ya vitu ninavyovipenda sana.Kutokana na mapenzi yangu kwa perfume huwa ninapenda kujaribu perfumes za aina tofauti.Kwa kufanya hivi hupata harufu ambazo ninapenda au tuseme zinaendana na mimi.Kwani perfume inaweza ikawa nzuri kwako na isiwe hivyo kwangu.Nina baadhi ya perfumes ambazo nimenunua katika kujaribu kwangu ambazo ni kama zifuatazo;THE LIVING ROOM: JINSI UNAVYOWEZA KUBORESHA MWONEKANO WA SEBULENI KWAKO

Unaweza kuboresha zaidi mwonekano wa sebuleni kwako kwa mapambo ya aina mbalimbali.Leo tunaongelea "curio".Curio ni kabati ambazo zimetengenezwa kwa kioo kwa sehemu kubwa.Kabati hizi hutumika kuweka mapambo mbalimbali au vyombo mfano glasi za mvinyo. Vitu hivi  au mapambo huwekwa kwa kiasi ili kuleta mwonekano mzuri.


KALI YA LEO!KAZI NI KAZI MRADI MKONO UENDE KINYWANI

Wadau, Wachina wamekaba kila mahali wakati sisi tunaonea aibu baadhi ya kazi.

MIKOBA MBALIMBALI KWA WANAWAKE

AINA MBALIMBALI ZA WIGI KWA WANAWAKE

THE DINING ROOM: AINA TOFAUTI ZA SAMANI ZA DINING ROOM