Monday, 28 September 2015

HOUSE PLANS: JINSI YA KUWEKA UREMBO WA MAWE KATIKA NYUMBAhttp://blog.mynorandassociates.com/files/2015/08/a0e3d533aa1ebaa87dff27b926e011f0.jpg

THE GARDEN: CONTAINER GARDENINGTHE WARDROBE:SUMMER DRESSESSTATUS ZENU ZA WHATSAPP BADILISHENI SASA


imagewwsKuna rafiki zangu wa WhatsApp wwananichekesha sana na status zao;.
  1. Mtu ameandika “Sleeping” , sasa leo siku ya tano, si kishakufa huyu?
  2. Mwingine kaandika “Driving” toka mwaka jana Agosti, naona atakuwa anakaribia Afghanistan saa hizi
  3. Haya jamaa najua kalazwa anaumwa lakini kaandika “Happy” we vipi ndugu yangu?
  4. Huyu mdada kaandika “Available”. Sijui anajua maana yake? Tukikuibukia utaanza mitusi
  5. Mbosi huyu hajabadilisha status mwaka wa pili sasa, “Hey there! I’m using

Wednesday, 23 September 2015

RAIS JAKAYA KIKWETE ATOA ZAWADI YA IDD EL HAJI KWA MAKUNDI MBALIMBALI


 Kamshna Msaidizi Kitengo cha Walemavu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo (kulia), akimkabidhi Mwakilishi wa Mahabusu ya Watoto Upanga, Regina Kuname msaada wa vyakula na kitoweo cha mbuzi na mafuta ya kula kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya ya Idd El Haji Dar es Salaam leo asubuhi.

ORIFLAME YAZINDUA OFISI MPYA TANZANIA


Mshindi wa Bidhaa za Kampuni ya Oriflame, 2013, Jessica Mwakyulu wapili (kushoto) akikata utepe wakati wa uzinduzi wa Ofisi mpya ya Kampuni hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni wapili kulia ni Mkurugenzi Mtendaj Mkuu wa Kampuni hio kwa Nchi za Afrika, Piyush Chandra, na kulia ni Meneja masoko kwa nchi za Afrika, Mary Makena.

PAPA FRANCIS AWASILI MAREKANI NA KUPOKELEWA NA RAIS BARACK OBAMA

CPiKWlOWUAAp5JE
Rais Barack Obama wa Marekani akisalimiana na Papa Francis mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Andrews Air Force Base

PICHA YA SIKU: MAZOEZI NI MUHIMU


HARUSI YA MANAGER WA SAUTI SOL ILIVYOKUWA KWENYE BUSTANI ZA KENYA


Good news kwa watu wa nguvu ambao +254 Kenya  inayatambua majina yao ambayo yako kwa wino mzito kabisa kwenye Industry ya Entertainment Kenya, wa kwanza ni  Annabel Onyango ambae ni Mwanamitindo staa kabisa kutoka Kenya… mwingine ni Marek Fuchs ambae ni Manager wa Group la Mastaa wakali kabisa, Sauti Sol.
Majina ya wawili hao, yani Annabel na Marek sasahivi wanazungumziwa tofauti, wamekuwa kwenye uhusiano wa Kimapenzi kwa zaidi ya miaka nane na sasahivi ninazo pichaz mtu wangu, uthibitisho tosha kabisa kwamba wao sasahivi ni mtu na mume wake.
Kama bado hujakutana nazo, unaweza kuzicheki hapa mwanzo mwisho pamoja na baadhi ya mastaa wa +254 waliokula mwaliko wa nguvu kabisa ikiwemo Sauti Sol wenyewe !

AUDIO: HEKAHEKA LEO NA STORI YA MZEE KUFANYIWA UNYAMA BAADA YA KULEWA

NIMEPENDA DESIGN HIZI ZA DASHIKI

THE LIVING ROOM: PENDESESHA SEBULE LAKO KWA MAPAZIA KATIKA MITINDO TOFAUTITHE KITCHEN: JINSI YA KU-DESIGN JIKOCOLLEGINE SISTERS OF HOLY FAMILY ORPHANAGE -TANGATarehe 14/9 nilitoa mada kuhusu kituo cha kulea watoto wasiokuwa na wazazi kiitwacho collegine sisters of Holf Family Orphanage kilichopo Tanga,Tanzania.Wengi waliniandikia baada ya kuguswa na watoto hawa na walitaka na wao kuchangia. Ifuatayo ni namba ya sister ambae mnaweza kuwasiliana nae.Sister anaitwa Marcelina na namba yake ni 0765 565 007.
KUTOA NI MOYO NA SI UTAJIRI.TUWASAIDIE WATOTO HAWA KWANI WANAHITAJI MISAADA YETU KWA DHATI.Sophia, mtoto mwenye umri wa miezi 5, ni mmoja kati ya watoto 54 wanaolelewa kituoni hapo

Unaweza kuingia katika website yao hapa vilevile uone njia nyingine za kuchangia
https://suorecolleginetanga.wordpress.comMANENO MENGINE YAANDIKWAYO KWENYE VYOMBO VYA USAFIRI MMH!

WALIOTOKELEZEA

KIDLICIOUS

START YOUR OWN ONLINE BUSINESS

 Many people are working online especially during this time of CoronaYou can do this also if you have a will.  Register for a Free Live Webi...