Skip to main content

Posts

Showing posts from October, 2015

AFRICAN PRINT ATTIRE

MAXI DRESSES

2015 women brand watch Luxury diamond beautiful

MEN´S BUTTON DOWN COLLARED SHIRTS

CRYSTAL JEWELRY SETS NECKLACE SET FOR WOMEN

HONGERA SAMIA SULUHU HASSAN

Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania,tunapata makamu wa kwanza wa rais mwanamke. Wanawake tunajidaije sasa. Huu ni mwanzo mzuri katika siasa nchini kwetu. Wanawake najua ni sisi ndiyo tumempa support kubwa mama Samia.Tuendelee kumpa support katika kutimiza majukumu yake Kitaifa na kimataifa kwa kufanyakazi zaidi. Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki Afrika.

BREAKING NEWS:DR JOHN POMBE MAGUFULI NDIYE RAIS MTEULE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA!

Dr John Pombe Magufuli
Tume ya taifa ya uchaguzi imemtangaza Dr John Pombe Magufuli kama rais mteule wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.Dr Magufuli amepata  kura asilimia 58.46 Hongera John Pombe Magufuli.

MEN`S SPORTCOATS & BLAZERS

Tommy Hilfiger - Trim Fit Gray Sharkskin Suit Jacket

MEN´S FLANNEL SHIRTS IN DIFFERENT COLOURS

WOMEN FASHION NECKLACES

SAA ZA MKONO KWA WANAWAKE

SAA ZA MKONO KWA WANAUME ZILIZONIVUTIA

MANUKATO KWA WANAWAKE

MISS SELFRIDGE SHOPPING BAG

THE WARDROBE: PUNJABI DRESS NA MVUTO WAKE

Party Jewelry Sets Men's

If interested click here:http://www.gotclicks1.com/YFTs37ZZjG4P

NI DIAMOND TENA! ANYAKUA TUZO ZA MTV EUROPE MUSIC AWARDS!

Hongera sana Diamond Platnumz. Tunajivunia sana uwakilishi wako. Umeipeperusha vyema bendera ya nchi yetu. Hata wasioijua Tanzania wataijua kupitia kazi zako!


NIKE AIR MAX 90 BLACK / YELLOW (MEN)

MKOBA WA KIKE KUTOKA KWA LYDC LONDON

PAPER DOLLS PENCIL DRESS IN LARGE BLOOM

MKOBA WA KIKE KUTOKA KWA NEW LOOK

MENS WEAR: UPANGILIAJI WA MAVAZI

Elegant Jewelry Gold Alloy Wide With Spring Cuff Bracelet

If interested click here: http://www.gotclicks1.com/xVKrMCXVvPAF


THE WARDROBE: I LOVE KNITTED DRESS

MENS WEAR: JOHN BANER 3/4 JEANS

925 sterling silver Bangles Cuff Bracelets High Quality

If interested click here:
http://www.gotclicks1.com/DN7e65XCn3rd

MKOBA WA KIKE KUTOKA KWA GABOR

KALI YA SIKU

STORI YENYE MAFUNDISHO MAKUBWA

JARIBU KUSOMA STORI HII MPAKA MWISHO NA UTAJIFUNZA KITU

“Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke wangu alikaa chini na kula chakula kimya akiwa tayari kunisikiliza. Tena nikagundua macho yake yalionyesha anaumizwa. Nilishindwa hata namna ya kuanza kufumbua kinywa changu. Lakini ilibidi nimwambie ili ajue nilikuwa nikifikiri nini juu yake. Nataka kukupa talaka. Nilianza kusema kwa utulivu. Alionekana kutokereka na maneno yangu badala yake aliniuliza kwa sauti ya upole ‘kwa nini?’ Sikumjibu swali lake. Kutojibu kulimfanya akasirike. Akatupa kijiko na akanikaripia, ‘wewe si mwanamume!’ Usiku ule,hakukuwa na maongezi kati yetu. Alikuwa akilia kwa kwikwi. Nilifahamu kwamba alitaka kujua ni nini kimetokea kwenye ndoa yetu. Lakini kwa hakika nisingeweza kumpa jibu wala sababu ya kuridhisha; alionekana si mali kitu kwangu penzi langu lilihamia kwa Mary. Sikumpenda tena mke wangu mawazo yoteyalikuwa kwa Ma…

Wema Sepetu anavyolipwa akialikwa kwenye Party, kupatanishwa na nguo za ...

3 PCS WOMEN MESSENGER BAG LUXURY CROCODILE PATTERN

Kama umependa hii mikoba bofya hapa:http://www.gotclicks1.com/afYwvrC52x5u

NEW TRENDY 18K STAMP NECKLACE SET

''


If interested click here: http://www.gotclicks1.com/MElYMgYnFpBk

925 Sterling Silver jewelry,925 necklace + bracelet jewelry set

If you are interested click here:
http://www.gotclicks1.com/2yyMFb6dPaqYIf interested click here:

http://www.gotclicks1.com/E5czXQJh9h8y