Thursday, 29 August 2013

BREAKING NEWZZZ!! MAJAMBAZI WAVAMIA NA KUPORA KATIKA BENKI KARIAKOO!!


Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi wamevalia sare za Jeshi la Polisi wamevamia Habib African Bank Kariakoo DSM na kupora kiasi kikubwa cha Fedha. Jeshi la polisi kanda maalum wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
 CHANZO: ITV

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...