Showing posts with label CHAKULA. Show all posts
Showing posts with label CHAKULA. Show all posts
Sunday, 24 July 2016
Monday, 26 January 2015
Thursday, 18 September 2014
MWILI HAUJENGWI KWA MBAO
Leo ni kinyumbani zaidi . Nimepika ugali, bamia (mlenda)na dagaa.Nk vitamuje sasa! Karibuni kwa picha.
Friday, 5 September 2014
VIUNGO 10 AMBAVYO NI LAZIMA KUWA NAVYO JIKONI KWANGU,JE WEWE VYAKO NI VIPI?
1.
PASTA
Hiki ni
chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo
katika jokofu lako mfano kuku,nyama ya kusaga, kamba(prawns) n.k.Ili kuzifanya
pasta zako ziwe tamu pasha ½ kikombe cha mafuta ya zeituni(olive oil) kikaangoni,weka
spinachi,nyanya au uyoga.Pika kwa dakika 3 au mpaka mboga zilainike. Ongeza
chumvi na pilipili(kama unatumia pilipili).Changanya pasta zako ambazo
zimepikwa tayari katika mchanganyiko huu wa mboga.
2. CHICKEN BROTH OR BOUILLON
Unaweza
kutengeneza mchuzi au supu kwa kutumia chicken broth pamoja na viungo vingine
ulivyonavyo jikoni kwako na kupata mlo mzuri kabisa. Mfano unaweza kuongeza
mbogamboga au nyama nk.Unaweza kutumia hii katika kuongeza ladha kwenye kuku wa
kuoka,kupikia wali na hata mbogamboga badala ya kutumia maji.
Friday, 18 April 2014
SUPU YA UYOGA KWA CHAPATI,NI TAMUJE!

Hii ni supu ya uyoga ambayo unatumia dakika kama 5 hivi kutayarisha.Ni supu ambayoinatokana na unga uliomo katika pakiti na unafuata maelekezo tu kutengeneza.Mimi hupendelea kuila na chapati.Ni mlo wa haraka kwa kweli.Chapati nakuwa nimetengeneza tayari hivyo ndani ya dakika 10 mlo huu huwa tayari. Hula mlo huu kama mlo wa kati.Ndiyo mlo wa kati niliokula leo!
Monday, 13 January 2014
Saturday, 11 January 2014
Tuesday, 17 September 2013
AINA MBALIMBALI YA MBOGA ZA MAJANI
Zijue baadhi ya aina tofauti ya mboga za majani.Mboga za majani ni muhimu sana katika afya zetu.Siku zijazo nitawaandikia jinsi ya kupika aina mbalimbali ya mboga za majani hivyo usiache kutembelea hapa.

Mchicha
Matembele
Majani ya maboga
Kisamvu
Subscribe to:
Posts (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Hip Hop’s Legend, Jay Z announced his world tour yesterday which includes seven stops in Africa, according to Billboard. Jay-Z has nai...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...