Showing posts with label VUNJA MBAVU. Show all posts
Showing posts with label VUNJA MBAVU. Show all posts

Monday, 7 December 2015

ROBERT MUGABES'S LETTER TO WHITE MEN


Dear white men, U asked us to wear coats under hot sun,
we did;
~
U said we should speak your language, we have obediently
ignored ours.
~
U asked us to always tie a rope around our necks like goats,
we have obeyed without questioning.
~
U asked our ladies to wear dead people's hair instead of the
natural hair God gave to them, they have obeyed.

Monday, 28 September 2015

STATUS ZENU ZA WHATSAPP BADILISHENI SASA


imagewwsKuna rafiki zangu wa WhatsApp wwananichekesha sana na status zao;.
  1. Mtu ameandika “Sleeping” , sasa leo siku ya tano, si kishakufa huyu?
  2. Mwingine kaandika “Driving” toka mwaka jana Agosti, naona atakuwa anakaribia Afghanistan saa hizi
  3. Haya jamaa najua kalazwa anaumwa lakini kaandika “Happy” we vipi ndugu yangu?
  4. Huyu mdada kaandika “Available”. Sijui anajua maana yake? Tukikuibukia utaanza mitusi
  5. Mbosi huyu hajabadilisha status mwaka wa pili sasa, “Hey there! I’m using

Saturday, 24 January 2015

KALI YA LEO: CHEKA UTOE STRESS ZA MAISHA!

Jamaa mmoja alikwenda kutafuta kazi ya ulinzi.Yafuatayo ndiyo mahojiano kati yake na mwajiri:
Employer: Umesoma mpaka wapi? 

Watchman: Mpaka Form 4 

Employer: Unajua kiingereza?

Watchman: kwani hao wezi wanakuja ni wazungu?

Thursday, 5 June 2014

KICHEKESHO CHA LEO!

Mlevi kakutwa akikojoa eneo la shule,mwalimu mkuu akamuuliza ''hilo bango hapo limeandikwaje?

 Mlevi akajibu''USIKOJOE HAPA''

Mwl. ''sasa na wewe unachofanya nini?''


Mlevi kwa upole akajibu ''HAKI YA MUNGU NILIJUA NDIO JINA LA SHULE''

Friday, 8 November 2013

SOMA UJUMBE KUTOKA KWA MASANJA MKANDAMIZAJI



Hivi ndivyo jinsi msichana anayejiheshimu na kujielewa anavyotuma SMS kwa mpenzi wake:

"Hi honey, I am just out of work heading for lunch now. I wish I could see you today. Take care, good day and love you. Don't forget to pray."

Sasa huyu ni yule waruwaru asiyejitambua na anakuibia tu: 

"Mamboz switsi! I mixx u xo mch hadi nawish kulia!Lolestest! Pls kam n buy me n ma galfwends pixzza & chics chips jioni. I mix u xanar xanar end plz kamer una credo nirushie buku 5.Luv u hun... I luv xo xo muxx!! XOXO. XXX. LOL! My YMCMB"


source masanja mkandamizaji Fb page!

Wednesday, 14 August 2013

NIMEIPENDA HII:AINA ZA VITAMBI TANZANIA


1. Kitambi mvurugo: Hiki kitambi kimekaa kama O. Kinapatikana kwa kula sana kitimoto.

2. Kitambi mchuchumioHiki kitambi kimekaa kama herufi D. Kinatokana na kula sana michemsho na bia za ofa.


3. Kitambi mbonyeo: Akivua shati kitambi hiki hakionekani. Hiki wanacho wala rushwa. Ila akisimamishwa kazi kinaisha.


4. Kitambi mtepeto: Ni kitambi cha wastani ambacho ukivaa nguo pana hakionekani. Kinasababishwa na kula mno viporo.


5. Kitambi mfumanio: Hiki mtu anakuwa hana pesa ila anakuwa na kitambi. Kitambi hiki kinasababishwa na minyoo na utapiamlo wa ukubwani.


6. Kitambi mtunguo: Hiki wanacho sana akina dada. Kina umbo la yai. Hiki kwa diet hakitoki labda kwa maombi tu.


7. Kitambi mchongoko: Kimekaa kama namba 4. 

Kinasababishwa na viroba,banana na jamii yake.

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...