Showing posts with label SHINDANO LA BLOG. Show all posts
Showing posts with label SHINDANO LA BLOG. Show all posts

Sunday, 26 July 2015

MSHINDI WA SHINDANO LA BLOG!

Wasomaji wetu,mshindi wa shindano la blog amepatikana,na si mwingine bali ni MARIA GEORGE.
Hongera sana Maria. Tutawasiliana na wewe kujua jinsi ya kukupatia zawadi yako.
Asanteni sana wengine wote kwa kushiriki na msisite kujitokeza tena kushiriki wakati mwingine.

Friday, 24 July 2015

SHINDANO LA BLOG: SWALI LA THELATHINI(30)

Je, unaweza kuweka baa ndogo (mini bar) kama nyumba yako ni ndogo au ni mpaka uwe na nyumba kubwa?

wasomaji, hili ndiyo swali la mwisho.Mshindi tutamtangaza hapahapa.Hongereni wale wote mlioshiriki.

Thursday, 23 July 2015

ZAWADI YA SHINDANO LA BLOG



Manukato ya kike hayo hapo juu ndiyo zawadi ya shindano letu.Yapo katika ujazo wa 75 ml.

SHINDANO LA BLOG: SWALI LA ISHIRINI NA TISA (29)


29. Hizi ni samani kwa ajili ya:
A.Sebuleni (sitting room)
B,Jikoni
C, Nje (outdoor)


Wednesday, 22 July 2015

Tuesday, 21 July 2015

Monday, 13 July 2015

SHINDANO LA BLOG: SWALI LA ISHIRINI (20)

Mbuga ya Taifa ya Mikumi ipo katika mkoa gani kati ya hii.

A. Pwani

B.Morogoro


C.Iringa

Sunday, 12 July 2015

Saturday, 11 July 2015

Friday, 10 July 2015

SHINDANO LA BLOG: SWALI LA KUMI NA SABA (17)

1            Wawindaji haramu wanaua sana mnyama gani kati ya hawa?
              A.Twiga

              B. Mamba


              C. Tembo

Thursday, 9 July 2015

SHINDANO LA BLOG: SWALI LA KUMI NA SITA (16)

1   Je, African print ni kitenge?Ndiyo/Hapana
t   Tuma jibu lako rainbowinfom@gmail.com

Tuesday, 7 July 2015

SHINDANO LA BLOG: SWALI LA KUMI NA NNE(14)


Unaweza kutengeneza jiko la nje la kupikia/kuchoma

 nyama kwa gharama nafuu. Ndiyo/Hapana

Tuma jibu lako kupitia rainbowinfom@gmail.com

Monday, 6 July 2015

SHINDANO LA BLOG: SWALI LA KUMI NA TATU(13)

Ili sebule lipendeze ni lazima uwe na samani(furniture) nyingi.Ndiyo/hapana
Tuma jibu lako kupitia rainbowinfom@gmail.com

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...