Mwanzoni mwa wiki Benki ya NMB ilizindua taasisi ya maendeleo ya Kilimo nchini Tanzania.Taasisi ambayo inakusudi la kuinua sekta ya kilimo kwa kuanzia ngazi ndogo kabisa inayomgusa mkulima mdogo hadi ngazi ya wakulima wakubwa na kilimo cha biashara.Wakulima wadogo wadogo wamekua hawatambuliki kutokana na kutokua na mtaji wa kutosha na uwezeshwaji kutokuwepo.Hivyo Benki ya NMB kwa kupitia taasisi hii itawasaidia wakulima kwa kupitia vyama au vikundi ili kuwezeshwa katika uzalishaji na kuinua sekta nzima ya kilimo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu akisalimiana na baadhi ya wadau wa kilimo waliohudhuria uzinduzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Kilimo ya Benki ya NMB mjini Dodoma. Nyuma ya Waziri Nagu ni Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Mark Wiessing.
Thursday, 8 August 2013
NMB YAZINDUA ASASI YA MAENDELEO YA KILIMO (NMB FOUNDATION FOR AGRICULTURAL DEVELOPMENT)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
No comments:
Post a Comment