Thursday 9 January 2014

HUKU NA KULE NA KAMERA YA RAINBOW-TZ BLOG KATIKA JIJI LA DAR

Jengo jipya,IT Plaza,opposite na ATC House .Dar inashamiri kwa majengo mapya ktk siku za hivi karibuni.
Serena hotel,zamani sheraton

Morogoro road,jirani na makutano ya mtaa wa Samora,barabara inakarabatiwa kwa ajili ya mradi wa mabasi ya kasi.

Jengo chakavu katika mtaa wa Samora,jirani na wizara ya maliasili na utalii.
Foleni maeneo ya msalaba mwekundu leo
(PICHA ZOTE na mpiga picha wa rainbow-tz

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...