Je,una mjengo au upo katika mchakato wa kujenga? Unaweza kuweka "bi-fold doors" kupendezesha nyumba yako zaidi. Zifuatazo ni baadhi ya picha za "bi-fold doors". Milango hii ipo ya mbao na aluminium vilevile hivyo uchaguzi ni wako kulingana na unene wa mfuko wako.
Aluminium bi-fold door
Aluminium bi-fold door
Aluminium bi-fold door
Bi-fold door ya mbao
No comments:
Post a Comment