Friday, 24 January 2014

SIKILIZA WIMBO BARREN LAND TOKA KWA MWIGIZAJI OMOTOLA JALADE EKEINDE TOKA NOLLYWOOD

omotola jalade ekeinde barren land



Mwigizaji kutoka Nigeria,Omotola Jalade Ekeinde maarufu kama " Omosexy", amekuja na single yake mpya kwa jina " barren land".
Single hii inapatikana katika albamu yake mpya iitwayo Me, Myself and Eyes.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...