Whitney Elizabeth Houston (the voice)
9 augusti 1963-11 februari 2012
Mbali na kuwa Whitney Houston kuwa na nyimbo nyingi nzuri,mimi ninaupenda zaidi " GREATEST LOVE OF ALL". Yaani naweza kuusikiliza hata siku nzima bila kuuchoka.
Je,wewe unapenda wimbo upi wa Whitney?
No comments:
Post a Comment