
Hii ni supu ya uyoga ambayo unatumia dakika kama 5 hivi kutayarisha.Ni supu ambayoinatokana na unga uliomo katika pakiti na unafuata maelekezo tu kutengeneza.Mimi hupendelea kuila na chapati.Ni mlo wa haraka kwa kweli.Chapati nakuwa nimetengeneza tayari hivyo ndani ya dakika 10 mlo huu huwa tayari. Hula mlo huu kama mlo wa kati.Ndiyo mlo wa kati niliokula leo!
No comments:
Post a Comment