Sunday 8 June 2014

THE DINING ROOM: AINA TOFAUTI YA DINING CHAIRS

Angalia aina tofauti za viti kwaajili ya chumba cha kulia chakula.Kama una fundi mzuri anaweza kukutengenezea na ukachagua mwenyewe kitambaa au ngozi kwaajili ya kuweka katika sehemu ya kukalia  na sehemu nyingine unazotaka. 




No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...