Saturday, 9 August 2014

BREAKDOWN YA BASI LA RATCO ALHAMISI YA TAREHE 7 AUGUST

Alhamisi ya tarehe 7 august tulisafiri na basi la Ratco kutoka Dar kwenda Tanga.Tulivyofika Kibaha basi lilisimama ghafla.Tuliambiwa kuwa basi limeharibika na itachukua dakika 30 kulitengeneza.Badala ya kukaa dakika 30 tulikaa zaidi ya Masaa mawili bila maelezo zaidi.Tuliamua kuwauliza wahusika kinachojiri nao wakasema filter imekufa na wanasubiri nyingine kutoka mjini.Kilichotukasirisha kwanini zilipozidi dakika 30 hawakutuambia mini kinaendelea?Naomba Ratco mjirekebishe.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...