





Nyumba inapangishwa jijini Tanga.Nyumba ipo barabara ya Eckenforde karibu na ilipokuwa klabu ya Limbachia.Ni nyumba kubwa ambayo imezungushiwa uzio na inaweza kutumiwa kwa makazi au ofisi.
Ina 6 bedrooms ambapo moja ni master,2 toilets and bathroom,kitchen, a big sitting room,A big dining room.
Kama unahitaji maelezo zaidi wasiliana na
0715 286 088 au
0714 686 686
No comments:
Post a Comment