Rainbow-tz
blog inawatakia wote Krismasi njema.Sikukuu hii na iwe yenye heri kwa wote na
ilete matumaini pale palipokosekana matumaini,upendo mahali ambapo pana
chuki na heshima pale palipojaa dharau.
Tujaribu vilevile kuwakumbuka wale walio na mahitaji muhimu,kila
mtu afanye hili kwa uwezo wake,na Mungu atatuongezea mara dufu pale
tutakapopunguza.
MERRY CHRISTMAS
KWENU WOTE.
Anna
Mmiliki wa blogu
No comments:
Post a Comment