Tuesday 30 September 2014
Monday 29 September 2014
Saturday 27 September 2014
T- SHIRTS ZA MIKONO MIREFU KWA WATOTO
Zinapatikana katika rangi mbalimbali kama nyeupe,nyekundu,bluu, kijivu na kijivu ya mpauko .Ni size kuanzia mtoto wa miaka 1/2 mpaka 8.
Ni 97% pamba na 3% viskos.
Rangi ni kama zinavyoonekana hapa chini. Kama unahitaji piga/whatsapp +255 755 994 399
110/116,98/104 size 110/116,122/128,98/104, 92
Ni 97% pamba na 3% viskos.
Rangi ni kama zinavyoonekana hapa chini. Kama unahitaji piga/whatsapp +255 755 994 399
110/116,98/104 size 110/116,122/128,98/104, 92
AINA TOFAUTI YA CALADIUM
Caladium ni moja ya maua niyapendayo.Maua haya yapo katika mitindo mbalimbali ambayo yote inavutia.Angalia hapa baadhi ya aina zake.
Friday 26 September 2014
MAHINDI YA KUCHEMSHA YANA UTAMU WAKE!
Nimechemsha mahindi baada ya kuyatamani sanaaa! Bahati mbaya mahindi haya sijanunua fresh bali ni ya katika paketi.Ladha yake ni nzuri tu kama mahindi mabichi fresh.Ngoja niendelee kula mie . Karibu!
Thursday 25 September 2014
BREAKING NEWS: TWO BOMB ALERTS AT STOCKHOLM BANKS
UPDATED: Police in Stockholm say a currency kiosk in the Swedish capital has been robbed and that there was an attempted theft at another, with "ticking packages" left in each location.
Police have confirmed that an exchange bureau in Gullmarsplan in
southern Stockholm was robbed on Thursday morning, while there was a
failed robbery attempt near Slussen, close to the city centre.
Witnesses reported seeing masked men fleeing from both locations at around 10am.
In Gullmarsplan, one of the suspects had a "pistol-like object in his
hand," according to a passerby who spoke to Swedish newspaper Dagens
Nyheter.
Wednesday 24 September 2014
Tuesday 23 September 2014
INTERIOR DECOR: MARBLE FLOORING TILES DESIGNS
Kutokana na uimara wa marumaru (marble), hutumika vilevile katika kuta za jikoni, bafuni/chooni na huwekwa juu ya meza. Marumaru hupatikana katika rangi na ukubwa tofauti.Uwekaji wake huhitaji ubunifu wa hali ya juu ili kuleta unadhifu unaotakiwa.Na kwa hakika zikiwekwa vizuri,huleta mwonekano wenye mvuto sana ndani ya nyumba.
Kwa kupata mvuto uliopitiliza,uwekaji wa marumaru uzingatie urembaji wa ndani ya nyumba yako.Pata picha kamili kwa kuangalia mfano wa uwekaji wa marumaru uliozingatia urembaji wa ndani ya nyumba.
Monday 22 September 2014
INTERIOR DECOR: MAPAMBO YA KITAMADUNI YANAVYOWEZA KUPENDEZESHA NYUMBA
Mapambo ya kitamaduni kama ngoma, vinyago, picha za kuchora n.k, yanaweza kubadilisha kabisa mandhari ya nyumba yako na kuifanya iwe na mvuto.Hii itategemea ubunifu wako katika kuvipangilia vitu hivyo.Nakumbuka wakati nyumbani kwetu tulikuwa na mapambo mengi ya asili kama ngoma, ungo za aina tofauti, side tables za mpingo, vinyago,picha zilizotengenezwa kwa kutumia majani ya migomba nk.Baba yangu alikuwa mpenzi sana wa vitu hivyo.Kusema kweli nyumba ilikuwa na mvuto wa aina yake!
Hebu tuangalie baadhi ya mapambo katika picha hizi.
Hebu tuangalie baadhi ya mapambo katika picha hizi.
MOJA YA UGONJWA WANGU
Wadau blogu yangu imelenga katika vitu ninavyoviweza na kuvipenda.Ninapenda sana upambaji wa ndani ya nyumba, mavazi, mapishi na manukato.Hii imepelekea kununua sana mapazia, foronya za mito ya makochi, mashuka n.k.Sijasahau na manukato.Angalia picha baadhi ya manukato niliyonayo.
Kuweni huru kuniuliza chochote na vilevile kutoa mawazo yenu na tutajadiliana hapa kwa faida ya wasomaji wangu wote.Kuna mambo mengi mazuri yanakuja na mtaona hapa.
Subscribe to:
Posts (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...