- Huweza kuzuia maendeleo ya saratani ya mapafu.
- Hupambana na saratani ya matiti
- Hupunguza ukuaji wa saratani ya kibofu
- Inaweza kuzuia na kupunguza kasi ya ugonjwa wa Alzheimer
- Inapunguza kolesterol
- Hushusha shinikizo la damu
- Hulinda meno
Inasemekana ukinywa juisi ya komamanga (pomegranate) nusu lita kila siku kwa muda wa mwezi mmoja, inasaidia kupunguza mafuta tumboni kwa wale wenye vitambi. Jitahidi kuwa na matumizi ya haya matunda unufaike na uboreshe afya yako.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Hip Hop’s Legend, Jay Z announced his world tour yesterday which includes seven stops in Africa, according to Billboard. Jay-Z has nai...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
No comments:
Post a Comment