Mji wa Stockholm umekuwa ukijengeka kila kukicha sababu ya kuwa na wakazi wengi hivyo makazi kutokukidhi idadi ya wakazi.
Wenzetu wana mpangilio mzuri kwani kila wanapojenga makazi wanahakikisha wanaweka mahitaji yote muhimu kama supermarkets,migahawa, maduka ya dawa,maduka ya nguo n.k ili kuwa vuta wakazi na kuwa punguza adhabu ya kwenda kufanya mnunuzi mbali.
Kwa kufanya hivi mtu unaweza kuishi popote.
Na sisi tujifunze kupanga miji yetu na hii kwani itasaidia kupunguza misongamano barabarani.
Thursday, 22 September 2016
JIJI LA STOCKHOLM LIKIENDELEA KUJENGWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Hip Hop’s Legend, Jay Z announced his world tour yesterday which includes seven stops in Africa, according to Billboard. Jay-Z has nai...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
No comments:
Post a Comment