Wednesday, 7 October 2020

BOOTS

Tunaelekea Msimu wa baridi na kidogo kidogo ainaa ya mavazi tunaanza kubadilisha. Kipindi cha mwanzo wa msimu wa baridi mimi hupendelea kuvaa boots fupi kama hizi.




No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...