Skip to main content

Posts

Showing posts from May, 2014

STYLE:PANGILIA MAVAZI NAMNA HII KATIKA MAJIRA YA JOTO (SUMMER)

ANGALIA UBUNIFU: CONTAINER GARDENING

Mdau,angalia jinsi unavyoweza kutumia viatu vilivyoharibika badala ya kuvitupa.Hii inamaanisha unaweza kutumia vitu vingine tofauti katika kubuni uoteshaji wa maua katika bustani ya nyumba yako. Hii itafanya mazingira ya nyumba yako kuonekana tofauti na ya kupendeza.Kwa kujifunza zaidi,angalia picha hapa chini.Jaribu sasa!


THE DINING ROOM

THE LIVING ROOM: CORNER SOFA BEDS

MWONGOZAJI WA VIPINDI NA FILAMU GEORGE TYSON, AFARIKI DUNIA

George Tyson enzi za Uhai wake Taarifa zilizotufikia katika meza yetu ya habari Usiku huu ni kuwa Muongozaji mahiri katika Tasnia ya Filamu nchini na Mzazi Mwenza wa Msanii nguli wa Filamu nchini Vyonne Cherry Au Monalisa, Bwana George Tyson amefariki dunia mara baada ya kupata ajali ya gari Mkoani Morogoro Katika eneo la Gairo wakati wakitokea Mkoani Dodoma ambapo walienda kwaajili ya Kuadhimisha Miaka Miwili ya Kipindi Cha Mboni Show.

PANGILIA MAVAZI NAMNA HII

MAZISHI YA RECHO: SAFARI YA KUELEKEA MAKABURINI

Majeneza yenye miili ya Recho na mwanaye.

PANGILIA MAVAZI YAKO NAMNA HII

BALLERINA KWA WANAWAKE

BALLERINA KWA WANAWAKE

MAGAUNI YA LACE KATIKA DESIGNS MBALIMBALI

MSHAIRI MASHUHURI NA MWANDISHI WA VITABU, MAYA ANGELOU KUTOKA MAREKANI,AFARIKI

PICHA: Rais Barack Obama akimkumbatia Maya Angelou baada ya Maya kupata "medal ofFreedom”, 2010.

Mshairi, Mwandishi  na mwanaharakati mashuhuri,Maya Angelou amefariki akiwa na umri wa miaka 86. Habari hizi ni kwa mujibu wa kituo cha  WGHP-TV kutoka katika mji wa  Winston-Salem ambapo Maya anatokea.

PICHA: ARUSI YA KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN, FORTE DI BELVEDERE, FLORENCE, ITALY

ANGALIA: MOVIE TRAILER- KITENDAWILI

FILM:     Kitendawili
            CAST:    Single Mtambalike, Irene Veda, Haji Adam, Elangwa Mtahiko,                             Hisani Muya             DIRECTOR:  Single Mtambalike

GARDENING

UREMBO WA KUCHA: PAKA RANGI KUCHA ZAKO MWENYEWE NAMNA HII

MITINDO:SIMPLE BUT SURE!

Carolina Herrera

THE BEDROOM: MPANGILIO KATIKA MASTER BEDROOM

MSANII WA BONGO MOVIE RACHEL HAULE AFARIKI

NGUO YA JIONI KWA WANAWAKE

THE BEDROOM: MPANGILIO KATIKA MASTER BEDROOM

VIATU AINA YA BALLERINA KWA WANAWAKE

KAZI YA MCHINA: FASHION BAGS KWA WANAWAKE

CONTAINER GARDENING

PANGILIA MAVAZI NAMNA HII

THE BEDROOM: MPANGILIO KATIKA MASTER BEDROOM

UTALII: SAADANI PARK HOTEL,HOTEL ILIYOPO KATIKA HIFADHI ZA SAADANI

Umeshasikia kuhusu Saadani Park Hotel ? Hoteli hii imejengwa pembezoni mwa hifadhi ya Saadani ambayo ni hifadhi pekee duniani inayopakana na  bahari.Hifadhi hii ni moja ya kivutio kinachofaa  kutembelewa.Kwa maelezo zaidi ya gharama na jinsi ya kufika hapo ingia hapa: http://www.saadaniparkhotel.com/


Mazingira ya nje yanavyoonekana


Mwonekano wa vyumba kwa nje

KIM KARDASHIAN AND KANYE WEST PRE WEDDING PHOTOS

That bride should be blushing: Kim wore a low cut tuxedo jacket dress as she and Kanye stepped out for dinner at the Palace Of Versailles, where they hosted a party to celebrate their impending nuptials amongst family and friends

Protective: The American rapper tries to stop fans from getting to close to Kim as they make their way into their vehicle