Monday, 22 April 2013

MABANGO YA MATANGAZO NA MAZINGIRA







Biashara ni matangazo,hii ni kweli kabisa.Ila matangazo yenyewe ni lazima yawe katika mpangilio mzuri ili kuufanya mji upendeze na kuepusha maafa.Mfano,uwekaji wa mabango hauna budi kuzingatia ukubwa wa tangazo na mahali linapowekwa.Picha ya kwanza inaonyesha tangazo kubwa likiwa limewekwa kwenye mzunguko(roundabout),Kwa mtazamo wangu sidhani kama bango hili limewekwa katika sehemu sahihi na kwa namna sahihi.(PICHA NA RAINBOW-TZ TANGA)

PICHA ZOTE ZIMEPIGWA JIJINI TANGA

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...