![]() |
Mfalme aliyetawazwa Willem-Alexander wa Uholanzi akimbusu mama yake Princess Beatrix aliyesimama katikati, huku Malkia Maxima kushoto, akiangalia. |
![]() |
Mfalme wa Uholanzi aliyetawazwa Willem -Alexander, Malkia Maxima kulia na Princess Beatrix
|
Mfalme aliyetawazwa Willem-Alexander anakuwa ndiye mfalme wa kwanza wa Uholanzi katika kipindi cha miaka 123!
Habari kwa hisani ya CBS News
![]() |
Pichani ni Malkia Beatrix wa Uholanzi akiwa na rais Jakaya Kikwete pamoja na Mama Salma Kikwete walipotembelea nchini Uholanzi mapema mwaka huu |
No comments:
Post a Comment