Watoto wakiwa wamekalia ndoo |
Watoto wakiwa wamebanana na wengine hawana meza ya kuandikia |
Hapa sijui ni shule nzima au darasa moja |
Moja ya shule katika bonde la Ngorongoro |
Kunapokuwa na tatizo au mapungufu lazima kuna sababu iliyopelekea kuwepo tatizo hilo.Tatizo haliwezi kwisha bila kutibu/kurekebisha chanzo cha tatizo.
Je,nini kimechangia la anguko la elimu Tanzania?Je,sababu zinaweza kuwa:
Ubadilishwaji wa mitaala mara kwa mara
Ubadilishwaji wa vitabu bila kufuata utaratibu
Mrundikano wa watoto darasani
Ukosefu wa madawati
Majengo duni
Maslahi duni ya walimu
Wadau mnaweza kuchangia ili kusaidia uboreshaji wa elimu yetu.
No comments:
Post a Comment