Mabinti kama hawa huishia kupata mimba za utotoni
Mtoto huyu amelala mahali ambapo ni hatari kwa maisha yake
Je,kudhibiti chanzo cha ongezeko la watoto wa mitaani kutamaliza tatizo hili?Kama ndiyo,je nini chanzo cha tatizo hili?Kwani ni lazima mtu ujue chanzo cha tatizo ili uweze kuondoa tatizo lenyewe.
No comments:
Post a Comment